Wednesday, 7 October 2015

TALIA - LULU KIBAARA ( NEREA REPLY)

Aiiiiih        Aiiiiih

Dear Nerea Nerea, nilikuzalia mtoto Talia.
Kila siku Analia, angalia vijana wako mtaani wanashangilia, wanauliza eti vipi ulinitia.
Angalia Talia bado analiaa-aaaa
Anasema ona baba hajaingiaa,
Kazi yake ni kulewalewa na mabandia,
ata Mimi moyoni ninaliaaa, ninashindwa akilini mwako ni wafikiriaa,
Kila siku maishani nini kwako kimeadilikaa,
Unalia Nerea Nerea na ata mkate na unga ujawekelea, ata Mimi uwezi leaa..
Mdomo wako pombe mbandia, nje tu mbolea-aaa.
Hii kelele nitapiga sitatulia , kwani Talia na-mi tutalazimiaaaa--aa-ooou

Talia analia x3 aaaa
Talia analia x2.
Angaliaaaa...

Song continues....